Posted on: June 12th, 2018
Wakazi wa kijiji cha Mikongi iliyopo kata ya Mandwanga,Halmashauri ya wilaya ya Lindi wamekutwa na butwaa baada ya kuvamiwa na watu zaidi ya 50 kutoka kijiji cha Nambau wilaya ya Tandahimba ...
Posted on: June 8th, 2018
Watu wengi wamekuwa na mazoea ya kutumia mifuko ya plastic maarufu kama rambo kwa ajiri ya kubebea vyakula vya moto kama vile ugali,supu,chips mayai bila ya kujua athari ambazo wanaweza kupata walaji ...
Posted on: June 3rd, 2018
Ndiyo,Mtumishi unaposafili nje ya Kituo chako cha Kazi ni lazima uwe na kibali/ruhusa kutoka kwa Afisa Masuuli na kibali hicho kiwe kimesainiwa na Kuainishwa kwa siku ambazo utakuwa nje ya kituo c...