• Contact Us |
    • MMM |
    • Staff Mail |
    • Compaints |
Mtama District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mtama District Council

  • Home
  • About Us
    • Hi
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Works and Fire Rescue
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Finance and Trade
      • Water
      • Community Development and Social Walfare
      • Agriculture,Irrigation and Cooperatives
      • land and natural Resources
      • Heaith
      • Administration and Human Resource Management
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and supply
  • Investment
    • Industries
    • Agriculture
    • Tourism
    • Fisheries
    • Minerals
  • Services
    • Health Services
    • Agriculture
    • Education
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Councillors
    • List of District councilors
    • Permanet Committees of the Councils
    • Time table
  • Projects
    • Completed Project
    • On going Projects
    • Expected Projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Forms
    • Reports
  • Media Center
    • Video
    • PICHA
    • MATUKIO
    • HOTUBA
    • HABARI
  • Mifumo
    • ffars
    • National Sanitation Compaign
      • E-learning
    • Sensa Elimu Msingi
    • Wajasiliamali
    • Government mail System
    • Madeni-Demo

Agriculture,Irrigation and Cooperatives

Majukumu ya Idara ya Kilimo

  • Kupitia/kuendeleza na kutafsiri malengo ya kilimo ya wilaya, sera na mikakati sambamba na sera na miongozo ya kitaifa.
  • Kuwa na utaratibu wa kuendeleza na kutoa miongozo kwa wadau wa kilimo ( mashirika yasiyo ya kiresikali, mashirika ya kijamii) na kuyahusisha kwa kuyajengea uwezo katika utoaji huduma wilayani.
  • Kuhakikisha kuwa maandalizi ya miradi ya maendeleo ya kilimo wilayani yanalenga kutatua changamoto za walengwa kwa kuwa inaandaliwa kwa mbinu shirikishi.
  • Kuwa katika mstari wa mbele katika uwajibikaji utoaji wa huduma kwa mteja kwa kuhakikisha taratibu zinafutwa na maamuzi yanafanyika kwa wakati, na kujihusisha na utoaji wa zabuni kwa mikataba.
  • Kuwezesha mawasiliano mazuri kati ya vituo vya utafiti, ugani na wakulima/vikundi vya wakulima na kuwa kiungo na watumishi wa kilimo wilayani, kata na vijijini na watumishi wa idara nyingine.
  • Kuhakiki, kutoa maelekezo, na kusambaza taarifa za utafiti kwa walengwa wote (wakulima) wilayani.
  • Kusukuma na kuimarisha uhusiano na taasisi na mashirika yanayojihusisha na maswala mtambuka katika wilaya mfano; mazingira, ukimwi, jinsia na utunzaji wa maliasili na kuhakikisha kuwa maswala hayo yanahusishwa katika mipango endelevu wa kilimo.
  • Kuratibu na kushauri juu ya shughuli zote za kilimo kufanyika kwa ushiriano wa sekta rasmi na isiyo rasmi (mashirika binafsi). Kusimamia na kuunganisha taarifa matukio ya majanga na wadudu/visumbufu vya mazao vinavyo/yanayotukia katika kanda, mkoa, na taifa kwa ujumla.
  • Kushirikiana na idara za serikali na maafisa wa serikali za mitaa katika kushauri, kuendeleza na kuhamasisha utekelezaji wa sheria ndogo za kilimo.

Announcements

  • JOINING INSTRUCTIONS December 14, 2020
  • MNADA WA KOROSHO 2021 October 16, 2021
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021 October 30, 2021
  • Athali za Upungufu wa Madini joto Mwilini April 10, 2018
  • View All

Latest News

  • "TEKELEZENI MIRADI YA MAENDELEO"

    March 18, 2022
  • UZINDUZI ANWANI ZA MAKAZI

    March 15, 2022
  • DED MTAMA ASISITIZA UWAJIBIKAJI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI CHIPONDA

    March 14, 2022
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

    March 08, 2022
  • View All

Video

GIRLS GUIDE LISHE BORA
More video

Quick Links

  • Youtube
  • Mfumo wa Elimu Msingi na Sekondari
  • FOMU YA MAOMBI YA LESENI YA BIASHARA
  • Watumishi Portal

Related Links

  • Presidential office and Regional Secretariety
  • Electronic Goverment Agent
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Ofisi ya Raisi-UTUMISHI
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Box 328 Lindi

    Postal Address: 328 Lindi Dc

    Telephone: 0222061

    Mobile:

    Email: ded@lindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.