Posted on: August 15th, 2021
Mdau wa michezo Ndg Selemani Methew Luwongo amekabidhi vifaa vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni 4 na laki 6 kwa timu zilizoshiriki na baadhi ya timu za mpira wa miguu za Mtama . Vifa...
Posted on: August 14th, 2021
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama Ndg Samwel Warioba Gunzar leo tarehe 14 Agosti 2021 amekabidhi rasmi madaraka kwa Mkurugenzi mteule Ndg George Mbilinyi kufu...
Posted on: August 11th, 2021
UONGOZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MTAMA UNAPENDA KUKUKARIBISHA MKURUGENZI MTENDAJI MH. GEORGE MBILINYI, TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAKO...