Posted on: April 20th, 2021
Mafunzo ya siku tano yamefanyika kuanzia tarehe 20 April 2021 hadi 24 April 2021 kwa wawezeshaji ambao watahusika kwa lengo la kuibua kaya maskini kwenye vijiji vya Halmashauri ya Mtama. Mafunzo hayo ...
Posted on: January 29th, 2021
Kikao maalum cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama kilichoketi tarehe 29 Januari 2021, kimepitisha bajeti ya awali ya Tshs. 26,511,168,253/= kwa mwaka wa fedha wa 2021/2022. Vyanzo ...
Posted on: January 16th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe, Godfrey Zambi amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Mtama tarehe 26 Januari 2021 na kuzitembelea baadhi ya Shule za Msingi na Sekondari kwa lengo la kukagua m...