Posted on: January 8th, 2025
Pichani ni mradi wa Shamba la mpunga liliopo kata ya Nyengedi ambalo ni mfano wa shamba darasa linalopatikana katika Halmashauri ya Mtama ambapo Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira ilitembelea...
Posted on: January 8th, 2025
Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira Halmashauri ya Wilaya ya Mtama Leo tarehe 8 Januali 2025 imefanya ziara ya kutembelea mradi wa Ujenzi wa daraja la Nachuwi lililopo kata ya Mtama Kwa lengo la kuk...
Posted on: December 31st, 2024
Mkesha huo umefanyika leo usiku wa tarehe 31 Disemba 2024 kuelekea januari 2025 katika viwanja vya sokoni-MAJENGO ambapo Mgeni Rasmi wa mkesha huo alikua ni mbunge wa jimbo la Mtama Mhe; Nape Nnauye.
...