Posted on: March 14th, 2022
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama Ndg. George Mbilinyi Machi 14, 2022 ametembelea Mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Chiponda na kusisiza uwajibikaji wa hali ya juu ili kufikia lengo la ...
Posted on: March 8th, 2022
Leo Machi 08, 2022 ikiwa ni siku ya wanawake duniani, walimu wanawake kupitia Idara ya Elimu Msingi na Sekondari wameadhimisha siku hiyo kwa kuwatembelea wanafunzi wenye mahitaji maalumu shule ya msin...
Posted on: March 8th, 2022
Ajali ya moto iliyohusisha gari aina ya basi kampuni ya Manning Nice iliyokuwa ikifanya safari za Nachingwea Dar es salaam imetokea leo Machi 08, 2022 majira ya saa mbili asubuhi katika kituo cha maba...