Posted on: March 12th, 2024
Akiyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama Ndugu George E. Mbilinyi jjana Tarehe 11 Machi 2024 amekabidhi Ofisi rasmi kwa Mkurugenzi Mtendaji Mpya Ndugu Anderson Msumba...
Posted on: March 12th, 2024
Tunakushukuru kwa Utumishi Wako Uliotukuka na Tunakupongeza kwa Kuaminiwa tena kuwa Mkrugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe.
...
Posted on: March 8th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mheshimiwa Zainabu Telack leo tarehe 8 Machi 2024 ameongoza kilele cha sherehe ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, maadhimisho hayo kimkoa wa Lindi yamefanyika...