Posted on: November 6th, 2021
Baada ya kupokea kesi ya ugonjwa wa mahindi ambao hapo awali haukujulikana jina lake, Afisa Kilimo wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama Bi. Vaileth Richard Byanjweli amefanya jitihada za kufuatilia...
Posted on: November 4th, 2021
Ugonjwa huo umegundulika kwenye shamba la mahindi la Bi. Maua Mohamedi lililopo katika Kijiji cha Mvuleni Kata ya Mtama na kuathiri baadhi ya mazao hayo.
Kwa mujibu wa Afisa Kilimo na U...
Posted on: November 4th, 2021
Mkazi mmoja wa kijiji cha Mihogoni kilichopo Kata ya Mtama aliyejulikana kwa jina la Nurudini Shabani mwenye umri wa miaka 19 Alfajiri ya tarehe 4 Novemba, 2021 ameng'atwa na Mbweha wakati akienda kuo...