Majukumu ya Idara ya Idara ya Ujenzi
1) Kusimamia kazi za ujenzi wa majengo na barabara katika Halmashauri.
2) Kuandaa makadilia ya gharama za ujenzi wa majengo na matengenezo ya barabara.
3) Kutoa ushauri wa kitaalam wa ujenzi.
4) Kuandaa taarifa mbalimbali zinazohusiana na masuala ya majengo na barabara(taarifa za kila wiki,mwezi,robo na mwaka).
5) Kupima Majengo,barabara na Madaraja.
6) Kutengeneza magari na Mitambo ya Halmashauri.
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.