Posted on: July 12th, 2024
Dokta Tasilo Lupapa ameteuliwa na kukabidhiwa kukaimu nafasi ya Mganga mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama Baada ya aliyekuwa katika nafasi hiyo Ndugu Dismas Masulubu kupata uhamisho wa kuhamia Hal...
Posted on: July 12th, 2024
Ndugu Anderson D Msumba Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama leo tarehe 12 Julai 2024 amefanya kikao na idara ya Afya kwa lengo la kukumbushana mambo mbalimbali yanayohusu idara hiyo,...
Posted on: July 11th, 2024
Ndugu Shaibu Ndemanga Mkuu wa Wilaya ya Lindi leo tarehe 11 Julai 2024 ameambatana na Kamati ya maafa ya Halmashauri ya Mtama pamoja wadau kutoka shirika la CARITAS lililopo chini ya Baraza la M...