Posted on: February 1st, 2020
Ufuatiliaji huo umefanyika Tarehe 1 Februari 2020 kwa kutembelea makazi ya watumishi wote waliokiri wameshahamia Mtama kikazi na makazi, lakini pia aliagiza kuchukuliwa hatua za kinidhamu...
Posted on: January 27th, 2020
Mafunzo ya HPV yametolewa leo Tarehe 27 Januari 2020 kwa Maafisa Elimu Kata na Wataalamu wa Afya katika Zahanati na vituo vya Afya vyote katika Halmashauri ya Mtama. Mafunzo hayo ya siku yamefanyika k...
Posted on: December 19th, 2019
UJENZI wa Vyoo Bora Shule ya Msingi Narwadi umekamilika chini ya ufadhili wa Shirika la Heart to Heart Foundation Ujenzi huo umekamilika tarehe 19/12/2019 na kukabidhiwa kwa Mkurugenzi Mtendaji ...