• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtama District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Ujenzi na Zima Moto
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Mali Asili
      • Afya
      • Utawala na Utumishi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Nyuki
      • Ununuzi na ugavi
  • Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • PICHA
    • MATUKIO
    • HOTUBA
    • HABARI
  • Mifumo
    • ffars
    • National Sanitation Compaign
      • E-learning
    • Sensa Elimu Msingi
    • Wajasiliamali
    • Government mail System
    • Madeni-Demo

DKT CHILUMBA AWAASA WAUGUZIBKUZINGATIA MAADILI YAO YA KAZI

Posted on: June 13th, 2025


Mgeni Rasmi wa maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani DKT:Chilumba kutoka Ofisi ya Mganga mkuu Mkoa wa Lindi kwa niaba ya RMO Mkoa amewaasa wauguzi kuhakikisha wanazingatia maadili ya kazi yao ikiwa ni pamoja na kuzingatia matumizi ya lugha nzuri kwa wagonjwa, Maadhimisho hayo yamefanyika kimkoa leo tarehe 13 juni 2025 katika viwanja vya sokoni vilivyopo kata ya Majengo Halmashauri ya Wilaya ya Mtama.

“Wauguzi mnatakiwa kuhakikisha mnatoa huduma za afya zinazozingatia ubora wa kazi zenu ikiwa ni pamoja na kuzingatia utu, stara na lugha njema kwa wagonjwa lakini pia mnapaswa kuzingatia miongozo mbalimbali ya Serikali na taaluma yenu ili kuweza kukidhi ubora wa huduma mnazozitoa’’ alisema DKT:Chilumba.

Aidha wauguzi kutoka Mkoa wa Lindi wameahidi kuwa wataendelea kuzingatia miiko na maadili ya kazi yao lakini pia kufanya kazi kwa weledi ili kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania DKT:Samia Suluhu Hassani katika harakati zote anazozifanya za kuhakikisha sekta ya Afya inakuwa bora kwa kimbilio la Wanaanchi.

Lakini pia Maadhimisho hayo yaliambatana na maandamano ya Amani kutoka kituo cha afya Mtama hadi viwanja vya sokoni vilivyopo kata ya majengo lakini pia wauguzi walifanya matendo ya huruma kwa kutoa mahitaji mbalimbali kama vile sabuni kwa wagonjwa waliopo katika wodi ya watoto na watu wazima ndani ya kituo cha afya Mtama.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUITWA KWQENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA KATA, VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MTAMA. September 16, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA KADA ZOTE September 09, 2023
  • MATOKEO YA USAILI WA WATENDAJI MTAMA DC September 09, 2023
  • Angalia yote

Habari mpya

  • RAS LINDI AIPONGEZA HALMASHAURI YA MTAMA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 18, 2025
  • DKT CHILUMBA AWAASA WAUGUZIBKUZINGATIA MAADILI YAO YA KAZI

    June 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAFANYA KIKAO CHA TATHMINIYA UTEKELEZAJI WA AFUA ZA LISHE KWA ROBO YA TATU HALMASHAURI YA MTAMA

    June 04, 2025
  • MIRADI 7 YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 2.7 YAPITIWA NA MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MTAMA

    May 27, 2025
  • Angalia yote

Video

Risala ya utii kwa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Youtube
  • Mfumo wa Elimu Msingi na Sekondari
  • FOMU YA MAOMBI YA LESENI YA BIASHARA
  • Watumishi Portal

Tovuti Mashuhuri

  • Presidential office and Regional Secretariety
  • Electronic Goverment Agent
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Ofisi ya Raisi-UTUMISHI
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Box 328 Lindi

    Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc

    Simu ya mezani: 0222061

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@lindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya ndani
    • Katazo
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.