Posted on: February 19th, 2024
Kampeni ya Kitaifa ya utoaji chanjo ya SURUA RUBELLA iliyoanza tarehe 15 hadi 18 Febuari 2024 imefanikiwa kwa 106.05% katika Halmashauri ya Wilaya ya Mtama.
Aidha katika Halmashauri ya Mtama wa...
Posted on: February 18th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mheshimiwa Zainabu Telack amewataka wananchi wa Mkoa huo kulima mazao ya Chakula ili kujikinga na njaa akisisitiza Lindi imebarikiwa maeneo makubwa na ardhi yenye rutuba hivyo si...
Posted on: February 17th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mheshimiwa Zainabu Telack leo tarehe 17, Februari 2024, amefanya kikao na wafanyakazi wa Halmshauri ya Wilaya ya Mtama ili kusikiliza Changamoto, Maoni, na Mapendekezo ya wafanya...