Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi CCM Taifa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kuu CCM Taifa Dkt. Edmund Mndolwa Leo Februari 26, 2022 ametembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Afya Kata ya Mtama huku akioneshwa kuridhishwa na hatua iliyofikia na kutoa msisitizo wa kutoa huduma ifikapo Juni 2022. Sambamba na ukaguzi huo Dkt. Mndolwa alipata fursa ya kupanda mti kama sehemu ya kumbukumbu na utunzaji wa mazingira.
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.