Posted on: April 25th, 2024
Siku ya Malaria Duniani ni maadhimisho ya kimataifa yanayoadhimishwa kila mwaka ifikapo Aprili 25 ili kutambua juhudi za kimataifa za kudhibiti Malaria, kufuatia maadhimisho hayo Ndugu Marcelina Mangu...
Posted on: April 24th, 2024
Keelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yatakayofanyika tarehe 26 Aprili 2024, Wafanya kazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama, Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wana...
Posted on: April 22nd, 2024
Uzinduzi huo umefanyika leo tarehe 22 Aprili 2024 katika shule ya msingi Mihogoni kwa lengo la kutoa chanjo kwa watoto wa kike kuanzia umri wa miaka 9 hadi 14 ili kuwakinga na ugonjwa hatari wa sarata...