Posted on: December 31st, 2024
Mkesha huo umefanyika leo usiku wa tarehe 31 Disemba 2024 kuelekea januari 2025 katika viwanja vya sokoni-MAJENGO ambapo Mgeni Rasmi wa mkesha huo alikua ni mbunge wa jimbo la Mtama Mhe; Nape Nnauye.
...
Posted on: December 31st, 2024
Bonanza hilo limefanyika Leo tarehe 31 Disemba 2024 katika viwanja vya shule ya Sekondari Mtama iliyopo kata ya Majengo ikiwa ni maandalizi ya kuuaga Mwaka 2024 na Kuupokea Mwaka mpya 2025.
...
Posted on: December 19th, 2024
Mhe: Victoria Mwanziva Mkuu wa Wilaya ya Lindi amewasisitiza Wananchi wa kata ya Majengo Halmashauri ya Mtama kuhakikisha wanatenga kipato Chao maalumu Kwa ajili ya kurekebisha mazingira ya vyoo na ma...