• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtama District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Ujenzi na Zima Moto
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Mali Asili
      • Afya
      • Utawala na Utumishi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Nyuki
      • Ununuzi na ugavi
  • Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • PICHA
    • MATUKIO
    • HOTUBA
    • HABARI
  • Mifumo
    • ffars
    • National Sanitation Compaign
      • E-learning
    • Sensa Elimu Msingi
    • Wajasiliamali
    • Government mail System
    • Madeni-Demo

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA LINDI AONGOZA UZINDUZI WA CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI(HPV VACCINE) MTAMA.

Posted on: April 22nd, 2024

Uzinduzi huo umefanyika leo tarehe 22 Aprili 2024 katika shule ya msingi Mihogoni kwa lengo la kutoa chanjo kwa watoto wa kike kuanzia umri wa miaka 9 hadi 14 ili kuwakinga na ugonjwa hatari wa saratani ya mlango wa kizazi lakini pia zoezi hilo litakuwa endelevu kuanzia leo tarehe 22 Aprili hadi tarehe 28 Aprili 2024, Chanjo hiyo itaenda kuwafikia watoto wa kike 11812 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mtama ikiwa ni zaidi ya asilimia 80.

Akiongea na wanafunzi wa kike katika shule hiyo Bi Juliana Kikoti ambaye ni mlezi wa Halmashauri alisema kuwa kinga ni salama kuliko tiba kwani chanjo hiyo itaenda kuwakinga watoto dhidi ya ugonjwa huo ambao unasababishwa na kirusi cha HPV lakini pia aliwataka wanafunzi hao kuwa mabalozi kwa wasichana wengine waliopo majumbani kwani chanjo ni salama.

Aidha Diwani wa kata ya Mtama Mheshimiwa Maria Nyale aliwapongeza waalimu kwa malezi bora ya watoto lakini pia idara ya Afya chini ya Mganga mkuu wa  Halmashauri na kuwaomba idara hiyo chanjo zijazo kuwashirikisha wazazi ambao wapo jirani ili kuondoa dhana potofu kwa jamii kuhusu chanjo hizo na kuwataka wanafunzi wachanje bila wasiwasi kwani chanjo ni bora na salama

Mgeni Rasmi wa zoezi hilo Mheshimiwa Athumani Sefu Hongonyoko Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Lindi aliwataka viongozi pamoja na wananchi kumuunga mkono Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kutoa nguvu kubwa katika sekta ya Afya kwani ana maono ya mbali kwani bila Afya hamna Taifa imara na aliongeza kuwa saratani itapungua  kwa asilimia kubwa kupitia chanjo hizi zinazotolewa leo, Mwisho mgeni Rasmi alizindua chanjo hizo ili kutolewa kwa wanafunzi hao na jamii kwa ujumla.

                                 

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUITWA KWQENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA KATA, VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MTAMA. September 16, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA KADA ZOTE September 09, 2023
  • MATOKEO YA USAILI WA WATENDAJI MTAMA DC September 09, 2023
  • Angalia yote

Habari mpya

  • KAMATI YA SIASA MKOA WA LINDI YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI HALMASHAURI YA MTAMA

    May 09, 2025
  • DC MWANZIVA AMEITAKA KAMATI YA AFYA HALMASHAURI YA MTAMA KUONGEZA UHAMASISHAJI KWA WANAUME KUHUSU UMUHIMU WA LISHE

    April 29, 2025
  • DC MWANZIVA ASISITIZA KUDUMISHA MUUNGANO LINDI

    April 26, 2025
  • KAMATI YA AFYA YA MSINGI YATOA ELIMU KUHUSU NYONGEZA YA DOZI YA CHANJO YA POLIO HALMASHAURI YA MTAMA

    April 24, 2025
  • Angalia yote

Video

Risala ya utii kwa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Youtube
  • Mfumo wa Elimu Msingi na Sekondari
  • FOMU YA MAOMBI YA LESENI YA BIASHARA
  • Watumishi Portal

Tovuti Mashuhuri

  • Presidential office and Regional Secretariety
  • Electronic Goverment Agent
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Ofisi ya Raisi-UTUMISHI
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Box 328 Lindi

    Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc

    Simu ya mezani: 0222061

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@lindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya ndani
    • Katazo
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.