• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtama District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Ujenzi na Zima Moto
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Mali Asili
      • Afya
      • Utawala na Utumishi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Nyuki
      • Ununuzi na ugavi
  • Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • PICHA
    • MATUKIO
    • HOTUBA
    • HABARI
  • Mifumo
    • ffars
    • National Sanitation Compaign
      • E-learning
    • Sensa Elimu Msingi
    • Wajasiliamali
    • Government mail System
    • Madeni-Demo

MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI KWA ROBO YA KWANZA WAFANYIKA MTAMA

Posted on: October 22nd, 2024


Mkutano huo wa Baraza la Madiwani umefanyika Leo tarehe 22 Oktoba 2024 katika ukumbi wa mikutano uliopo Halmashauri ya Wilaya ya Mtama Kwa lengo la kujadili taarifa mbalimbali za utekelezaji wa miradi na mipango mikakati Kwa robo ya kwanza (kuanzia julai-oktoba 2024).

Akihutubia Baraza hilo Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe: Victoria Mwanziva aliwapongeza Waheshimiwa Madiwani Kwa utoaji wa huduma bora kwani wamekuwa watetezi wakubwa Kwa Wananchi lakini pia DC Mwanziva amewasisitiza Waheshimiwa Madiwani kuhakikisha wanakuwa na mahusiano mazuri baina yao na Wananchi.

Aidha kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, Ndugu Anderson Msumba Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mtama na Msimamizi wa Uchaguzi amewahimiza Waheshimiwa Madiwani kuhakikisha wanahamasisha Wananchi wenye sifa kuchukua na kurudisha fomu za ugombea katika nafasi mbalimbali za uongozi kuanzia tarehe 26 Oktoba hadi tarehe 01 Novemba Mwaka huu.

Lakini pia Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama Mhe: Yusuf Tipu amewataka Wataalamu wa Halmashauri kushirikiana pamoja na Waheshimiwa Madiwani ili kutatua Kwa wakati kero za Wananchi.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUITWA KWQENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA KATA, VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MTAMA. September 16, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA KADA ZOTE September 09, 2023
  • MATOKEO YA USAILI WA WATENDAJI MTAMA DC September 09, 2023
  • Angalia yote

Habari mpya

  • RAS LINDI AIPONGEZA HALMASHAURI YA MTAMA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 18, 2025
  • DKT CHILUMBA AWAASA WAUGUZIBKUZINGATIA MAADILI YAO YA KAZI

    June 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAFANYA KIKAO CHA TATHMINIYA UTEKELEZAJI WA AFUA ZA LISHE KWA ROBO YA TATU HALMASHAURI YA MTAMA

    June 04, 2025
  • MIRADI 7 YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 2.7 YAPITIWA NA MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MTAMA

    May 27, 2025
  • Angalia yote

Video

Risala ya utii kwa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Youtube
  • Mfumo wa Elimu Msingi na Sekondari
  • FOMU YA MAOMBI YA LESENI YA BIASHARA
  • Watumishi Portal

Tovuti Mashuhuri

  • Presidential office and Regional Secretariety
  • Electronic Goverment Agent
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Ofisi ya Raisi-UTUMISHI
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Box 328 Lindi

    Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc

    Simu ya mezani: 0222061

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@lindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya ndani
    • Katazo
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.