Ndugu Elvan Limwagu Afisa Afya Halmashauri ya Mtama akitoa elimu kuhusu nyakati muhimu za kunawa mikono katika maadhimisho ya siku ya kunawa mikono duniani yaliyofanyika leo katika kata ya Nyangamara.
Nyakati hizo ni baada ya kutoka chooni, kabla na baada ya kula, kabla ya kumnyonyesha au kumlisha mtoto, kabla ya kuandaa matunda na mbogamboga, kabla na baada ya kuandaa chakula, baada ya kumsafisha mtoto aliyejisaidia na baada ya kumhudumia mgonjwa.
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.