• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtama District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Ujenzi na Zima Moto
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Mali Asili
      • Afya
      • Utawala na Utumishi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Nyuki
      • Ununuzi na ugavi
  • Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • PICHA
    • MATUKIO
    • HOTUBA
    • HABARI
  • Mifumo
    • ffars
    • National Sanitation Compaign
      • E-learning
    • Sensa Elimu Msingi
    • Wajasiliamali
    • Government mail System
    • Madeni-Demo

"TEKELEZENI MIRADI YA MAENDELEO"

Posted on: March 18th, 2022

Maelekezo hayo yametolewa Machi 17, 2022 na Katibu Tawala wilaya ya Lindi Mh. Mbwana Rajabu Kambangwa kwenye kikao kazi na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama ambapo aliwataka wakuu wa Idara kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kuhakikisha inakamilika kwa wakati na ubora unaoendana na thamani ya fedha.

Katibu Tawala alitoa maelekezo kwa mweka hazina wa Halmashauri CPA Asha Msangi kuongeza juhudi katika ukusanyaji wa fedha kwa kushirikiana na Mkurugenzi ili kuinua mapato yatakayosaidia kuendesha shughuli mbalimbali.

Aidha alitoa msisitizo kwa maafisa utumishi kujenga mahusiano mazuri na watumishi wao, kuwatumia ipasavyo Maafisa Tarafa kwenye majukumu mengine kwani wao ni viunganishi vya Serikali Kuu na Serikali za Mitaa.  Lakini pia ametoa maelekezo kwa Afisa Maendeleo ya Jamii kuhakikisha mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya wanawake, vijana na walemavu inarejeshwa kwa wakati.

Kwa hatua nyingine Mh. Kambangwa alitoa maagizo kuhusiana na utunzaji bora wa dawa katika vituo vya kutolea huduma lakini pia kuwa na ushirikiano na wananchi kwa kuwajibika pamoja na  kutoa hufuma bora katika jamii.

Akizungumza kwa niaba ya watumishi wote Ndg. Alfonse Ngongi alimshukuru Katibu Tawala huo kwa kutenga muda na kuahidi kuwa maelekezo yake yatatekelezwa ipasavyo.

Katibu Tawala aliitisha kikao hicho kwa lengo la kujitambulisha, kuwafahamu watumishi pamoja na kutoa maelekezo hayo.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA ZABUNI YA UENDESHAJI WA GHALA LA MTAMA KWA MSIMU WA MWAKA 2022/2023 September 07, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI July 30, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO KWA MADEREVA HALMASHAURI YA MTAMA July 29, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA SENSA July 26, 2022
  • Angalia yote

Habari mpya

  • DED MTAMA DC ATEMBELEA ZAHANATI YA MAHIWA

    February 24, 2023
  • DED MTAMA DC ATEMBELEA SHULE YA MSINGI NANG'AKA

    February 23, 2023
  • Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Mtama Ndg.George Mbilinyi, Anawatakia Wahitimu wote wa Darasa la Saba Mtihani Mwema.

    October 05, 2022
  • Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mtama Ndg.George Mbilinyi Ameshiriki kampeni ya umezaji wa dawa za Kinga Tiba dhidi ya Ngili maji na Matende.

    September 21, 2022
  • Angalia yote

Video

GIRLS GUIDE LISHE BORA
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Youtube
  • Mfumo wa Elimu Msingi na Sekondari
  • FOMU YA MAOMBI YA LESENI YA BIASHARA
  • Watumishi Portal

Tovuti Mashuhuri

  • Presidential office and Regional Secretariety
  • Electronic Goverment Agent
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Ofisi ya Raisi-UTUMISHI
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Box 328 Lindi

    Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc

    Simu ya mezani: 0222061

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@lindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya ndani
    • Katazo
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.