• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Ujenzi na Zima Moto
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Mali Asili
      • Afya
      • Utawala na Utumishi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Nyuki
      • Ununuzi na ugavi
  • Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Video
  • Mifumo
    • ffars
    • National Sanitation Compaign
      • E-learning
    • Sensa Elimu Msingi
    • Wajasiliamali
    • Government mail System
    • Madeni-Demo

RC LINDI AKAGUA MIUNDO MBINU NA SAMANI SHULENI

Posted on: January 16th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Lindi  Mhe, Godfrey Zambi amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Mtama tarehe 26 Januari 2021 na kuzitembelea baadhi ya Shule za Msingi na Sekondari kwa lengo la kukagua miundo mbinu ya Madarasa na nyumba za walimu pamoja na samani hususani meza, viti na madawati, kuona hali ya uandikishaji wa watoto wa awali na darasa la kwanza, na pia kupata taarifa ya ufaulu wa watoto kwa darasa la Nne, kidato Cha pili na nne. Aidha ametoa maagizo kwa watendaji wa Halmashauri kuhakikisha shule zote zenye changamoto hizo , kuzitatua kwa haraka ili tendo la kujifunza na ufundishaji lifanyike kwa ufanisi, na atarudi tena mwezi februari kwa ufuatiliaji, na watoto wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2021 waende shule.

Matangazo ya Kawaida

  • JOINING INSTRUCTIONS December 14, 2020
  • Athali za Upungufu wa Madini joto Mwilini April 10, 2018
  • Mapokezi ya Mbio za Mwenge wa Uhuru June 18, 2018
  • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi ikishilikiana na USAID Boresha Afya yamwaga nafasi za kazi za kutosha December 02, 2018
  • Angalia yote

Taarifa mpya

  • BARAZA LAPITISHA BAJETI YA MTAMA DC KWA MWAKA 2021/2022.

    January 29, 2021
  • RC LINDI AKAGUA MIUNDO MBINU NA SAMANI SHULENI

    January 16, 2021
  • KIKUNDI CHA UCHUKUZI MTAMA MTAMA BOYS EXPERIENCE WATOA MIFUKO YA SARUJI

    February 16, 2021
  • KIJIJI CHA MIHIMA WAJENGA OFISI

    January 07, 2021
  • Angalia yote

Video

Mhe
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Youtube
  • Mfumo wa Elimu Msingi na Sekondari
  • FOMU YA MAOMBI YA LESENI YA BIASHARA
  • Watumishi Portal

Tovuti Mashuhuri

  • Presidential office and Regional Secretariety
  • Electronic Goverment Agent
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Ofisi ya Raisi-UTUMISHI
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Box 328 Lindi

    Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc

    Simu ya mezani: 0222061

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@lindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya ndani
    • Katazo
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2018 Lindi District Council All rights reserved.