Mkesha huo umefanyika leo usiku wa tarehe 31 Disemba 2024 kuelekea januari 2025 katika viwanja vya sokoni-MAJENGO ambapo Mgeni Rasmi wa mkesha huo alikua ni mbunge wa jimbo la Mtama Mhe; Nape Nnauye.
Aidha Mgeni Rasmi wa tukio hilo alitoa zawadi mbalimbali ikiwa ni fedha Taslimu kwa washindi wa Bonanza lililofanyika mchana katika viwanja vya shule ya Sekondari Mtama.
mwisho viongozi pamoja na Wananchi waliupokea mwaka mpya kwa mafataki.
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.