Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mtama, Mhe. Anderson Msumba, anawahamasisha wananchi wote wa kata ya Namupa;kijiji cha Mnamba na wananchi wote wa Halmashauri ya wilaya ya Mtama kwa ujumla kujitokeza kwa wingi na na kushiriki kikamilifu katika kuadhimisha siku ya upandaji miti ngazi ya wilaya ambayo yanaadhimishwa leo siku ya tarehe 20/03/2025.
kauli mbiu: "Ongeza thamani ya mazao ya misitu kwa uendelevu wa rasilimali kwa kizazi hiki na kijacho"
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.