Pichani ni mradi wa Shamba la mpunga liliopo kata ya Nyengedi ambalo ni mfano wa shamba darasa linalopatikana katika Halmashauri ya Mtama ambapo Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira ilitembelea leo tarehe 8 Januari 2025.
Aidha kamati imefanya ziara katika mradi huo kwa lengo la kuangalia na kukagua shughuli zinazoendelea katika mradi huo.
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.