Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira Halmashauri ya Wilaya ya Mtama Leo tarehe 8 Januali 2025 imefanya ziara ya kutembelea mradi wa Ujenzi wa daraja la Nachuwi lililopo kata ya Mtama Kwa lengo la kukagua na kufuatilia maendeleo ya mradi huo.
Aidha kukamilika kwa daraja hilo kunaenda kuondoa kero ya ubovu wa miundombinu Kwa Wananchi wa Kijiji Cha Nachuwi na Halmashauri Kwa ujumla kwani eneo hilo halipitiki Kwa urahisi hasa katika kipindi cha mvua nyingi.
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.