Bonanza hilo limefanyika Leo tarehe 31 Disemba 2024 katika viwanja vya shule ya Sekondari Mtama iliyopo kata ya Majengo ikiwa ni maandalizi ya kuuaga Mwaka 2024 na Kuupokea Mwaka mpya 2025.
Katika Bonanza hilo michezo iliyochezwa ni Mpira wa miguu, mpira wa pete, kukimbia kwenye gunia, kufukuza kuku, mchezo wa Draft, mchezo wa kukuna nazi na mchezo wa Bao. Aidha washindi wa michezo yote watapata zawadi zao katika mkesha wa Mwaka mpya utakao fanyika katika viwanja vya sokoni.
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.