Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe: Victoria Mwanziva amewataka Wananchi wa Halmashauri ya Mtama kuhakikisha wanajitolea katika shughuli mbalimbali zinazofanyika katika miradi inayoendelea kutekelezwa kama vile kuchimba msingi kwa lengo la kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan.
Ameyasema hayo jana tarehe 5 Machi 2025 alipokuwa anatoa taarifa ya utekelezaji wa miradi ya serikali inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mtama kupitia kituo cha Redio Mtama (MTAMA FM RADIO).
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.