Huu utaratibu ni kwa mwananchi yeyote mwenye nia ya kufungua na kufanya biashara katika maeneo ya Halmashauri ya wilaya ya Lindi.
CHA KUZINGATIA
Fomu ya maombi ya leseni baada ya kujazwa lazima ipitishwe na mtendaji wa kijiji kwanza na kupitishwa na Afisa Biashara na hatimaye hatua ya II,III na IV zitafuata
Box 328 Lindi
Postal Address: 328 Lindi Dc
Telephone: 0222061
Mobile:
Email: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.