Tuesday 21st, January 2025
@VIWANJA VYA MAJENGO
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya mtama Ndugu Goerge E. Mbilinyi anawatakia Heri na Baraka ya mwaka mpya 2024 pia anawakaribisha kwenye Bonanza na Mkesha wa Mwaka Mpya tar. 31 Disemba, 2023 katika viwanja vya majengo kutakua na BURUDANI/MUZIKI NA MICHEZO mbalimbali, mpira wa miguu kwa mashabiki wa Simba na Yanga kuanzia saa 10:00 Asubuhi. KARIBUNI SANA.
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.