Halmashauri ya Wilaya ya Lindi ina Maeneo mengi na Makubwa ya Kitalii ambazo ni pamoja na Fukwe tulivu zilizopo maeneo ya Mchinga,Kijiweni na Sudi sambamba na hilo tuna Maeneo ya asili ambayo ni Tendeguru kata ya Mipingo lililovumbuliwa Mjusi Mkubwa(Dinosaur) ambaye sasa anapatikana Nchini Ujerumani na Eneo la Makaburi ya Machifu lililopo Maeneo ya Sudi
Box 328 Lindi
Postal Address: 328 Lindi Dc
Telephone: 0222061
Mobile:
Email: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.