Mradi umepewa Tshs 250,000,000/= kwa ajili ya ujenzi wa majengo matatu. Mradi huu unatekelezwa kwa njia Force Account.
Kumalizika kwa mradi huu kutarahisisha na kusogeza karibu huduma za afya kwa wananchi wa Tarafa ya Mtama na Maeneo jirani.
Mradi huu upo katika hatua ya msingi na kazi inaendelea
Rc Bi. Zainabu Telack alipotembelea na kukagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Afya Mtama
Hatua ya msingi jengo la maabara kituo cha afya MTAMA
Hatua ya mwanzo ya upandishaji wa boma jengo la maabara kituo cha afya Mtama
Hatua ya rinta Jengo la maabara kituo cha afya Mtama
Hatua ya upauaji jengo la maabara kituo cha afya Mtama
Hatua ya kuezeka imekamilika 1/12/2021 jengo la maabara na kazi inaendelea kwa hatua nyingine
Hatua ya skimming jengo la maabara kituo cha Afya Mtama na kazi inaendelea 08/01/2022
Hatua ya umwagaji zege jengo la OPD
Kukamilika kwa msingi Jengo la wagonjwa wa nje (OPD)
Hatua ya mwanzo ya upandishaji wa boma jengo la OPD
Hatua ya Bim ( open yard) jengo la OPD
Hatua ya boma jengo la OPD kituo cha afya MTAMA
Hatua ya upauaji inaendelea jengo la OPD kituo cha afya Mtama 2/12/2021
OPENYARD jengo la
Hatua ya skimming inaendelea jengo la OPD 08/01/2022
KAZI INAENDELEA........................
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.