• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtama District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Ujenzi na Zima Moto
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Mali Asili
      • Afya
      • Utawala na Utumishi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Nyuki
      • Ununuzi na ugavi
  • Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • PICHA
    • MATUKIO
    • HOTUBA
    • HABARI
  • Mifumo
    • ffars
    • National Sanitation Compaign
      • E-learning
    • Sensa Elimu Msingi
    • Wajasiliamali
    • Government mail System
    • Madeni-Demo

KAMATI YA LISHE YAFANYA KIKAO CHA TATHMINIYA UTEKELEZAJI WA AFUA ZA LISHE KWA ROBO YA TATU HALMASHAURI YA MTAMA

Posted on: June 4th, 2025


Kamati ya lishe Halmashauri ya Wilaya ya Mtama leo tarehe 4 juni 2025 imefanya kikao maalum cha tathmini ya utekelezaji wa afua za lishe kwa ngazi ya Halmashauri kilicholenga kupima hatua zilizofikiwa katika kuboresha hali ya lishe kwa Wananchi, kikao hiko kimefanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo Halmashauri ya Mtama.

Akizungumza wakati wa kikao hiko Bi: Emma Lunojo Mwenyekiti wa kamati ya lishe kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Mtama amewataka wajumbe wa kamati hiyo kuhakikisha wanatoa elimu na hamasa ya kutosha kwa jamii juu ya umuhimu wa kutekeleza afua za lishe ikiwemo ufuatiliaji wa afya kwa watoto na akina mama wajawazito.

“Niwajibu wetu kuhakikisha jamii inapata taarifa sahihi kuhusu lishe ili kila mwananchi awezekuchukua hatua stahiki, Tukiwa kama viongozi na wataalamu katika maeneo yetu tunapaswa kuwa mstari wa mbele katika kutoa hamasa na elimu endelevu kuhusu lishe bora” alisema Bi: Emma Lunojo.

Aidha katika kikao hiko idara mbalimbali ziliwasilisha taarifa zao za utekelezaji wa afua za lishe zikiwemo idara ya Afya, Elimu Msingi, Elimu sekondari, kilimo na mifugo pamoja na idara ya Maendeleo ya Jamii, Taarifa hizo zilionyesha hatua mbalimbali zilizochukuliwa na changamoto zilizojitokeza katika kutekeleza shughuli za lishe katika idara husika.

Hatahivyo, Ndugu Gozbert Henerico Mratibu wa lishe Halmashauri ya Mtama alisisitiza kuwa kikao hiko ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wa lishe kitaifa na kinaweka msingi imara wa ushirikiano baina ya sekta mbalimbali katika kuimarisha hali ya lishe ndani ya Halmashauri ya Mtama.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUITWA KWQENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA KATA, VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MTAMA. September 16, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA KADA ZOTE September 09, 2023
  • MATOKEO YA USAILI WA WATENDAJI MTAMA DC September 09, 2023
  • Angalia yote

Habari mpya

  • KAMATI YA LISHE YAFANYA KIKAO CHA TATHMINIYA UTEKELEZAJI WA AFUA ZA LISHE KWA ROBO YA TATU HALMASHAURI YA MTAMA

    June 04, 2025
  • MIRADI 7 YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 2.7 YAPITIWA NA MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MTAMA

    May 27, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA WA LINDI YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI HALMASHAURI YA MTAMA

    May 09, 2025
  • DC MWANZIVA AMEITAKA KAMATI YA AFYA HALMASHAURI YA MTAMA KUONGEZA UHAMASISHAJI KWA WANAUME KUHUSU UMUHIMU WA LISHE

    April 29, 2025
  • Angalia yote

Video

Risala ya utii kwa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Youtube
  • Mfumo wa Elimu Msingi na Sekondari
  • FOMU YA MAOMBI YA LESENI YA BIASHARA
  • Watumishi Portal

Tovuti Mashuhuri

  • Presidential office and Regional Secretariety
  • Electronic Goverment Agent
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Ofisi ya Raisi-UTUMISHI
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Box 328 Lindi

    Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc

    Simu ya mezani: 0222061

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@lindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya ndani
    • Katazo
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.