• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtama District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Ujenzi na Zima Moto
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Mali Asili
      • Afya
      • Utawala na Utumishi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Nyuki
      • Ununuzi na ugavi
  • Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • PICHA
    • MATUKIO
    • HOTUBA
    • HABARI
  • Mifumo
    • ffars
    • National Sanitation Compaign
      • E-learning
    • Sensa Elimu Msingi
    • Wajasiliamali
    • Government mail System
    • Madeni-Demo

ZIARA YA WAZIRI MKUU -MTAMA DC

Posted on: October 5th, 2021

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Mh. Kassim Majaliwa Majaliwa leo tarehe 5 Oktoba, 2021 amefanya ziara yake ya kikazi katika Wilaya ya Lindi yenye Halmashauri mbili ambazo ni Halmashauri ya Wilaya ya Mtama na Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kwa lengo la kutembelea na kukagua Miradi mbalimbali ya maendeleo.

Kwa upande wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama Mh. Waziri Mkuu alifanikiwa kutembelea Mradi wa barabara ya Hingawali hadi Navanga yenye urefu wa Km 14.1, Navanga hadi Pangatena yenye urefu wa Km 8 ambao umegharimu kiasi cha Tsh. 299,926,100.00/=. Sambamba na hilo Mh. Majaliwa alipata nafasi ya kuwahutubia wananchi wa Hingawali kwa kuwapa salamu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan na kutolea ufafanuzi wa changamoto zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la Mtama  Mh. Nape Mosses Nnauye kwa niaba ya wananchi hao kuhusu swala la umeme na kusema kuwa Serikali imejipanga kusambaza umeme katika vijiji vyote nchini huku akisisitiza bei elekezi ya umeme ambayo ni  shilingi 27,000/=.

Mh. Waziri Mkuu alizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama na kuwapa maelekezo ya utendaji kazi ikiwa ni pamoja na uadilifu, uaminifu na kutumia utaalamu wao na kutoa wito kwa watumishi hao kusimamia vema mapato na matumizi  ili kuleta maendeleo ndani ya Halmashauri na Taifa kwa ujumla.

Kufuatia ziara hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama Ndg. George Emmanuel Mbilinyi alipata fursa ya kusalimiana na Mbunge Mstaafu Mh. Bernard Membe na kumpongeza Mkurugenzi huyo kwa uteuzi alioupata huku akimuhakikishia kutoa ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu kwa lengo la kuleta maendeleo kwenye Jimbo na Halmashauri kwa ujumla. Aidha, Mh. Membe amempongenza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan kwa kazi anazozifanya ikiwa ni pamoja na kutoa fedha za maendeleo kwa ajili ya Miradi mbalimbali ya maendeleo katika Tarafaa ya Rondo.

Mh.Waziri Mkuu anaendelea na ziara ya kikazi katika Wilaya zote za Mkoa wa Lindi iliyoanza leo tarehe 05/10/2021 mpaka tarehe 09/10/2021.

Mh. Bernard Membe akizungumza na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama Ndg.George Mbilinyi (aliyevaa suti) walipokutana katika shule ya sekondari Mnara- Rondo wakati wa ziara ya Waziri Mkuu.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUITWA KWQENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA KATA, VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MTAMA. September 16, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA KADA ZOTE September 09, 2023
  • MATOKEO YA USAILI WA WATENDAJI MTAMA DC September 09, 2023
  • Angalia yote

Habari mpya

  • KAMATI YA SIASA MKOA WA LINDI YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI HALMASHAURI YA MTAMA

    May 09, 2025
  • DC MWANZIVA AMEITAKA KAMATI YA AFYA HALMASHAURI YA MTAMA KUONGEZA UHAMASISHAJI KWA WANAUME KUHUSU UMUHIMU WA LISHE

    April 29, 2025
  • DC MWANZIVA ASISITIZA KUDUMISHA MUUNGANO LINDI

    April 26, 2025
  • KAMATI YA AFYA YA MSINGI YATOA ELIMU KUHUSU NYONGEZA YA DOZI YA CHANJO YA POLIO HALMASHAURI YA MTAMA

    April 24, 2025
  • Angalia yote

Video

Risala ya utii kwa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Youtube
  • Mfumo wa Elimu Msingi na Sekondari
  • FOMU YA MAOMBI YA LESENI YA BIASHARA
  • Watumishi Portal

Tovuti Mashuhuri

  • Presidential office and Regional Secretariety
  • Electronic Goverment Agent
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Ofisi ya Raisi-UTUMISHI
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Box 328 Lindi

    Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc

    Simu ya mezani: 0222061

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@lindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya ndani
    • Katazo
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.