Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama Ndg George E.Mbilinyi, akisikiliza kero au changamoto za wananchi wa Kijiji cha Mahumbika ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mtama. Katika ziara yake ya kusikiliza kero alifuatana na Wakuu wa Idara na Vitengo kwa ajili ya kutoa maelezo ya ufumbuzi wa changamoto zao leo 11/11/2023
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.