Mhe: Seleman Jafo(Mb) Waziri wa Viwanda na Biashara ametembelea na kukagua jengo la ofisi za Halmashauri ya Mtama tarehe 21 Septemba 2024 na kuridhika Kwa Kasi ya maendeleo ya jengo hilo kwani ni mradi wenye uhitaji Kwa watumishi na Wananchi Kwa ujumla.
Aidha Mhe: Jafo aliongeza kuwa mafundi pamoja na wakandarasi wa jengo hilo wanaendelea vizuri na kazi wanayo ifanya inaonekana, lakini pia jengo hilo litakapo kamilika litaenda kusaidia watumishi kufanya kazi katika mazingira mazuri na rafiki aidha Wananchi wa Mtama watapata huduma Kwa ukaribu zaidi.
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.