Rai hiyo imetolewa na mwenyekiti wa Halmashauri ya Mtama Mhe Mathei B. Makwinya kwa wajumbe wa kamati fedha, Utawala na Mipango kwenye kikao kilichofanyika Tarehe 9 Aprili 2020 katika ukumbi wa mikutano Mtama. Wajumbe hao wamesisitizwa kuwaambia wananchi katika maeneo yao watokayo kuwa waendelee kujikinga na ugonjwa huu hatari kwa kutekeleza maagizo yote ya Serikali yanayowataka wananchi kuzingatia, hii NI pamoja na kunawa maji yanayotiririka na sabuni, kuepuka mikusanyiko ya watu, kupeana mikono nk.
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.