Timu ya viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama pamoja na wawakilishi kutoka SUMA JKT, kwa kutembelea eneo la Ujenzi na kuoneshana mipaka ya eneo na tayari taratibu za ujenzi ziweze kuanza. SUMA JKT imeteuliwa na bodi ya zabuni baada ya kushinda vigezo. Hatua hiyo ni faraja kwa watumishi kwani itakuwa ukombozi kwao kwa kupata ofisi za kudumu.
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.