Ufuatiliaji huo umefanyika Tarehe 1 Februari 2020 kwa kutembelea makazi ya watumishi wote waliokiri wameshahamia Mtama kikazi na makazi, lakini pia aliagiza kuchukuliwa hatua za kinidhamu wale wote ambao hawakuhudhuria kikao hiki. Aidha ametoa maagizo ya kudumisha mahusiano mazuri kwa watumishi wote, kupendana kwa maana ya kila mmoja kuwa na moyo wa upendo, na mwisho kuwa na matumizi bora ya rasilimali za Halmashauri .
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.