Ndugu Anderson D Msumba Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya ya Mtama Leo Septemba 2024 ametoa maelezo yanayohusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Kwa Wadau wa Uchaguzi wakiwemo Viongozi wa vyama vya siasa, Viongozi wa dini na Wananchi mbalimbali. Maelezo hayo yametolewa katika ukumbi wa mikutano uliopo Halmashauri ya Mtama.
Maelezo yaliyotolewa ni pamoja na Tarehe ya Uchaguzi, Muda na sehemu ya kuandikisha wapiga kura, sehemu ya kufanyia Uchaguzi, Nafasi Zitakazogombewa lakini pia kutoa wito Kwa Wananchi wote wenye sifa kushiriki na kujiandikisha kwenye orodha ya wapiga kura.
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.