Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe Godfrey Zambi akiwa ameongozana na Sekretarieti ya Mkoa, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi akiwa katika ziara yake ya Kikazi ya kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wilaya ya Lindi na Hapa akikagua upanuzi wa Kituo cha Afya cha Kitomanaga kilichopo katika kata ya Nyangamara iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Lindi na pia alisikiliza kero Mbalimbali za Wananchi na alimsimamisha Kila Mkuu wa Idara Husika aweze Kutolea ufafanuzi na changamoto zilijikita katika nyanja za Elimu,Afya na Maji.
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.