Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Mtama Ndg. George Mbilinyi ameshiriki kampeni ya umezaji dawa za kinga Tiba dhidi ya Ngiri maji na Matende.
Ametumia fursa Hii kuwaasa wananchi wote wa Mtama kujitokeza kupata dawa kinga hizo katika zoezi lilolaanza tarehe 20/9/2022 hadi leo 21/9/2022
katika maeneo yetu.
Ameomba wananchi waweze kuhimizana kwani tatizo hili ni kubwa katika maeneo yetu.
zoezi Hili ni la Mtaa kwa Mtaa,Nyumba kwa Nyumba.
Mtama kwa Afya bora Inawezekana.
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.