ikiwa leo ni sikuku ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar na kuifanya kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe Shaibu Ndemanaga ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Lindi ameongoza Wafanyakazi wa Mkoa wa Lindi kutoka Taasisi za Halmashauri ya Wilaya ya Lindi,Manispaa ya Lindi,Ofisi ya Mkoa wa Lindi na ofisi ya Hospitali ya Mkoa wa Lindi Sokoine walivyoungana kwa pamoja kufanya usafi kwa Mazingira yote kuzunguka Hospitali ya Mkoa wa Lindi Sokoine
Usafi huu uliweza kuanza Mnamo saa 12 asubuhi mpaka saa nne na mara baada ya Kumaliza usafi Wafanyakazi wote wa Mkoa wa lindi waliweza kupimwa Magonjwa mbalimbali ikiwemo Uzito,Kisukari na Presha
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.