Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe: Seleman Jaffo amepokelewa leo tarehe 21 Septemba 2024 katika viwanja vya jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Mtama ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani Lindi Kwa lengo la kukagua miradi ya Maendeleo.
Katika Ziara hiyo Mhe: Jaffo amepokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe: Victoria Mwanziva, Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Mtama Bi: Emma Lunojo, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mtama Mhe: Yusuf Tipu, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Lindi Mhe:Athumani Hongonyoko, Waheshimiwa Madiwani, Wataalamu wa Halmashauri ya Mtama pamoja na Wananchi.
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.