Mhe, Godfrey Zambi Mkuu wa Mkoa wa Lindi amefanya ziara ya kuwatembelea wananchi wa Halmashauri ya Mtama kwa kusikiliza kero mbalimbali katika mikutano ya hadhara. Moja mikutano hiyo amefanya katika Kijiji Cha Hingawali , baadhi ya kero alizosikiliza ni pamoja kero za maji, Elimu na uwekezaji. Lakini pia alitoa maagizo kwa wananchi kujitoa kwa hali na Mali katika kuchangia mipango ya maendeleo. Alisisitiza kumaliza kwa haraka majengo ya madarasa kwa Shule za Sekondari za Mnolela, Madangwa na Mnara ambao wana upungufu wa vyumba vya madarasa
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.