• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtama District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Ujenzi na Zima Moto
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Mali Asili
      • Afya
      • Utawala na Utumishi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Nyuki
      • Ununuzi na ugavi
  • Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • PICHA
    • MATUKIO
    • HOTUBA
    • HABARI
  • Mifumo
    • ffars
    • National Sanitation Compaign
      • E-learning
    • Sensa Elimu Msingi
    • Wajasiliamali
    • Government mail System
    • Madeni-Demo

KATA YA MTAMA NA MAJENGO WAANDAA BONANZA LA KUMUAGA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MTAMA.

Posted on: March 24th, 2024

Bonanza hilo limefanyika leo tarehe 24 machi 2024 katika uwanja wa shule ya sekondari Mtama kwa lengo la kumuaga na kumtakia heri katika safari yake aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama Ndugu George E Mbilinyi na Mgeni Rasmi wa bonanza hilo.

Aidha bonanza hilo lilijumuisha michezo miwili ambayo ni mpira wa miguu kwa wanaume(Simba na yanga) na mpira wa mikono kwa wanawake(Simba na yanga), kwa upande wa mpira wa miguu timu zilitoka sare ya bila kufungana huku mpira wa mikono simba wakitoka na ushindi wa magoli 15 dhidi ya magoli 6 kwa upande wa yanga.

Akiongea na wanamichezo pamoja na wananchi Mgeni Rasmi wa bonanza hilo aliwashukuru madiwani wa kata zote mbili, Mheshimiwa Maria Nyale(Diwani kata ya Mtama) na Mheshimiwa Issa Nyambala(Diwani kata ya Majengo) kwa kuaandaa shughuli hiyo muhimu lakini pia aliwasisitiza kuendeleza ushirikiano katika jambo lolote linalohusu michezo na kuwakaribisha Buhigwe kama kuendeleza upendo na mshikamano

.

Mwisho mgeni Rasmi alitoa zawadi kwa washiriki wa michezo hiyo na aliwakabidhi jezi walizo vaa wachezaji wa simba kuwa za kwao binafsi kama kuonyesha ishara ya kumbukumbu kwao pia alimkabidhi zawadi maalumu kipa wa timu ya simba kwa lengo la kuendeleza na kumpa moyo kwa kipaji alicho kionyesha.


Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUITWA KWQENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA KATA, VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MTAMA. September 16, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA KADA ZOTE September 09, 2023
  • MATOKEO YA USAILI WA WATENDAJI MTAMA DC September 09, 2023
  • Angalia yote

Habari mpya

  • KAMATI YA SIASA MKOA WA LINDI YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI HALMASHAURI YA MTAMA

    May 09, 2025
  • DC MWANZIVA AMEITAKA KAMATI YA AFYA HALMASHAURI YA MTAMA KUONGEZA UHAMASISHAJI KWA WANAUME KUHUSU UMUHIMU WA LISHE

    April 29, 2025
  • DC MWANZIVA ASISITIZA KUDUMISHA MUUNGANO LINDI

    April 26, 2025
  • KAMATI YA AFYA YA MSINGI YATOA ELIMU KUHUSU NYONGEZA YA DOZI YA CHANJO YA POLIO HALMASHAURI YA MTAMA

    April 24, 2025
  • Angalia yote

Video

Risala ya utii kwa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Youtube
  • Mfumo wa Elimu Msingi na Sekondari
  • FOMU YA MAOMBI YA LESENI YA BIASHARA
  • Watumishi Portal

Tovuti Mashuhuri

  • Presidential office and Regional Secretariety
  • Electronic Goverment Agent
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Ofisi ya Raisi-UTUMISHI
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Box 328 Lindi

    Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc

    Simu ya mezani: 0222061

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@lindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya ndani
    • Katazo
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.