Huduma hizo zimeanza kutumika rasmi tarehe 29 September 2020, Hospitali hiyo iliyojengwa katika eneo la Kiwalala kutokana na utekelezaji wa ilani ya CCM ya kila Wilaya kuwa na Hospitali ya Wilaya kwa lengo la kusogeza hiduma kwa wananchi. Baadhi ya huduma zilizoanza kutolewa hii ni pamoja na upimaji wa presha (BP), Saratani ya mlango wa kizazi, upimaji wa lishe, upimaji wa hiari wa VVU, upimaji wa macho na matibabu ya magonjwa mbalimbali. Wito umetolewa na mganga mkuu wa Wilaya kwa wananchi kuanza kupata huduma hizo.
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.