Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama Ndg George Emanuel Mbilinyi leo tarehe 24 oktoba 2021 amefanya kikao kazi na Maafisa watendaji wa Vijiji na Kata kwa lengo la kuwakumbusha na kuwapa maelekezo ya utekelezaji wa majukumu yao. Aidha ametoa maagizo yafuatayo:
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.