Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama Mh. George Mbilinyi pamoja na timu ya Wataalamu wa Halmashauri hiyo ( CMT) tarehe 31 Agosti 2021, wametembelea na kukagua maendeleo ya Mradi wa ujezi wa Ofisi za Halmashauri Mtama.
Akitoa maelezo ya Mradi huo, Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama Eng. Abruhani Juma, amesema kuwa Mradi huo umesainiwa na SUMA JKT na shuguli za utekelezaji zinaendelea ikiwa ni pamoja na :
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mtama George Mbilinyi ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa ofisi hiyo na kusisitiza kuwa kazi iendelee.
KAZI INENDELEA
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.