• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtama District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Ujenzi na Zima Moto
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Mali Asili
      • Afya
      • Utawala na Utumishi
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Nyuki
      • Ununuzi na ugavi
  • Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • PICHA
    • MATUKIO
    • HOTUBA
    • HABARI
  • Mifumo
    • ffars
    • National Sanitation Compaign
      • E-learning
    • Sensa Elimu Msingi
    • Wajasiliamali
    • Government mail System
    • Madeni-Demo

DED MTAMA AENDELEA KUKUTANA NA WATUMISHI KUTOKA IDARA MBALIMBALI

Posted on: October 12th, 2021

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama Ndg. George Emmanuel Mbilinyi amefanya kikao kazi kilichofanyika tarehe 12/10/2021 kwenye Ukumbi wa Mikutano na wajumbe wa CHMT pamoja na  baadhi ya Waganga Wafawidhi wa vituo na zahanati zote ndani ya Halmashauri.

Kikao kililenga kupeana maelekezo na miongozo ya utendaji kazi ikiwa ni mikakati ya Mkurugenzi huyo kujadili kwa pamoja na watumishi kutoka katika Idara mbalimbali ili kutengeneza timu itakayoleta mabadiliko na maendeleo ya Halmashauri na Taifa kwa ujumla.

Ndg. Mbilinyi amesisitiza uwajibikaji na uadilifu katika maeneo ya kazi kwa kuzingatia nidhamu pamoja na uongozi bora." Zama zimebadilika tuache kufanya kazi kwa mazoea na  tukafanye kazi tuwatumikie wananchi". Na kuongeza " kuanzia leo jitathimini, badilika mimi nahitaji matokeo ya kazi tunazofanya" Alisema Mkurugenzi. Sambamba na hilo ametoa wito kwa wajumbe kushiriki kwa pamoja katika kuinua mapato ya ndani kwa kubuni miradi mbalimbali kwenye vituo vyao vya kazi.

Kwa niaba ya wajumbe wa kikao hicho, Mganga Mkuu wa  Halmashauri ya Wilaya ya Mtama Dkt. Dismas Masulubu amemshukuru Mkurugenzi kwa kutenga muda na kutoa maelekezo, nasaha pamoja na ushauri ili kutoa huduma bora kwa wananchi. Lakini pia  amesisitiza umakini katika matumizi pamoja na utunzaji wa dawa katika vituo mbalimbali  vya kutolea huduma za Afya vilivyopo kwenye Halmashauri hiyo.


Ikumbukwe kuwa, kwenye hotuba yake ya kwanza ya tarehe  11/08/2021 mara baada ya kuripoti katika kituo chake cha kazi Ndg. Mbilinyi  aliahidi kuzungumza na watumishi kulingana na Idara zao na huu ni utekelezaji wa ahadi zake.

Wajumbe Idara ya Afya wakiwa kwenye kikao hicho.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUITWA KWQENYE USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA KATA, VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MTAMA. September 16, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA KADA ZOTE September 09, 2023
  • MATOKEO YA USAILI WA WATENDAJI MTAMA DC September 09, 2023
  • Angalia yote

Habari mpya

  • KAMATI YA SIASA MKOA WA LINDI YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI HALMASHAURI YA MTAMA

    May 09, 2025
  • DC MWANZIVA AMEITAKA KAMATI YA AFYA HALMASHAURI YA MTAMA KUONGEZA UHAMASISHAJI KWA WANAUME KUHUSU UMUHIMU WA LISHE

    April 29, 2025
  • DC MWANZIVA ASISITIZA KUDUMISHA MUUNGANO LINDI

    April 26, 2025
  • KAMATI YA AFYA YA MSINGI YATOA ELIMU KUHUSU NYONGEZA YA DOZI YA CHANJO YA POLIO HALMASHAURI YA MTAMA

    April 24, 2025
  • Angalia yote

Video

Risala ya utii kwa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Youtube
  • Mfumo wa Elimu Msingi na Sekondari
  • FOMU YA MAOMBI YA LESENI YA BIASHARA
  • Watumishi Portal

Tovuti Mashuhuri

  • Presidential office and Regional Secretariety
  • Electronic Goverment Agent
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Ofisi ya Raisi-UTUMISHI
  • Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya mahali

Wasiliana nasi

    Box 328 Lindi

    Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc

    Simu ya mezani: 0222061

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@lindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya ndani
    • Katazo
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.