Mnada wa pili Lindi Mwambao umefanyika tarehe 16/10/2021 katika Chama Cha Msingi Mshikamano Wilayani Kilwa. Kiasi kilichoingia mnadani ni kilo 5,012,932. Kamapuni zilizoshiriki ni 16
GHALA LA BUCO kgs 1,552,797
Kampuni.
1.Export 100Ton Tsh 2,286
2.Valency 200Ton Tsh 2,210
3.Lenic 200Ton Tsh 2,205
4.AMJ 200Ton Ths 2,205
5.Sedaco 200Ton Tsh 2,205
6.Sibatanza 652Ton Tsh 2,200
GHALA LA HAZINA kgs 1,773,462
1.Dizygotic 800Ton Tsh 2,275
2.Afrisian 50Ton Tsh 2,240
3.RBST 700Ton Tsh 2,205
4.Alpha namata 200Ton Tsh 2,201
5.Sibatanza 23Ton Tsh 2,200
GHALA LA NANGURUKURU kgs 1,686,678
1.Dizygotic 200Ton Tsh 2,275
2.Sedaco 100Ton Tsh 2,120
3.Sibatanza 1,386 Ton Tsh 2,100
Wakulima wamekubali kuuza kwa bei ya juu ya Tsh 2,286 na bei ya chini 2,100.
Mahitaji ya wanunuzi ni kilo 14,885,864.
Box 328 Lindi
Sanduku la Barua: 328 Lindi Dc
Simu ya mezani: 0222061
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@lindidc.go.tz
Copyright ©2021 Mtama District Council All rights reserved.